Header Ads

Mkongwe Master J azidi kunogewa na penzi la Shaa, aandika haya

Mtayarishaji wa muziki Mkongwe Kwenye Bongofleva Master J ameonesha kufurahia uhusiano wa kimapenzi na mchumba wake wa Muda mrefu ambaye pia ni mwanamuziki wa Bongofleva Shaa.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Master J amepost picha akiwa na mpenzi wake huyo na kuandika ujumbe mfupi unaosemaka..>>”Ananifanya nitabasamu kila nikiwa naye”No comments:

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();

Popular Posts