Header Ads

Mshambuliaji wa Brazil kamuoa mpwa wa mkewe wa zamani

Mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil anayecheza soka la kulipwa katika club ya Shanghai SIPG ya China Hulk amemuoa mpwa wa mke wake wa zamani kwa ndoa ya ghafla.
Hulk ,33, na aliyekuwa mkewe Iran Angelo waliachana mwaka jana July baada ya kuwa katika mahusiano kwa miaka 12, December mwaka huo kuripotiwa kuingia katika mahusiano ya kimapenzi na Camila Angelo ambaye ni mpwa wa mkewe wa zamani.
Inaelezwa kuwa Hulk amefunga ndoa ya haraka na Camila kwa ajili ya kuhakikisha anapata visa ya kuishi China kirahisi, kutokana na raia wa Argentina wanatakiwa kuingia na visa China.

No comments:

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();

Popular Posts